Kiak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiak ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waak. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiak imehesabiwa kuwa watu 75 tu na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiak iko katika kundi la “Yellow River”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.