Kiagta ya Isarog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiagta ya Isarog ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiagta ya Isarog imehesabiwa kuwa watu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Isarog iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiagta ya Isarog kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.