Kiagariya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiagariya ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waagariya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiagariya imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiagariya iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiagariya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.