Kiaasax
Mandhari
Kiaasax ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania inayozungumzwa na Waassa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiaasax imehesabiwa kuwa watu 350 tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaasax kiko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaasax kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaasax Ilihifadhiwa 19 Mei 2019 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiaasax katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/aas
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaasax kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |