Khamstashara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Khamstashara ni neno la Kiswahili cha zamani kwa ajili ya namba 15. Asili yake ni kiar. "خمسة عشر" (khamsa `ashera). Kwa Kiswahili sanifu kumi na tano imechukua nafasi yake.