Nenda kwa yaliyomo

Kenneth Hawkinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenneth S. Hawkinson ni msimamizi wa masomo na mkufunzi wa mawasiliano wa Marekani akitumikia kama raisi wa 12 wa Kutztown katika Chuo kikuu cha Pennsylvania. Aliweza kuanza majukumu yake yakiofisi mnamo Jilai mosi ya mwaka 2015.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Hawkinson ni mzaliwa wa Carpentersville, Illnois. Alipata stashahada ya sanaa katika historia na Shahada ya juu ya sanaa ya mawasiliano ya hotuba katika chuo kikuu cha Western Illinois, ikifuatiwa na phD katika mawasiliano ya hotuba na utendaji katika chuo kikuu cha Southern Illinois University Carbondale Kama msomi wa Fulbright, Hawkinson aliweza kufundisha nje ya nchi yake katika chuo kikuu cha Ouagadougou. Pia aliweza kufanya utafiti wa historia na Ngano za kiafrika[2]

  1. "Bilingual education as a prospective form of tertiary education in higher education institutions". Journal For Educators, Teachers And Trainers. 12 (01). 2021-04-02. doi:10.47750/jett.2021.12.01.002. ISSN 1989-9572.
  2. Weis, Dr. (2001). "An open letter from AIBS President Judy Weis about the events of September 11". BioScience. 51 (12): 996. doi:10.1641/0006-3568(2001)051[0996:aolfap]2.0.co;2. ISSN 0006-3568.