Kegorapetse David Letsebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kegorapetse David Letsebe mara nyingi hujulikana kama Thabo Letsebe (alizaliwa tarehe 14 1980) ni mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Afrka kusini na klabu ya Soweto Panthers inayoshiliki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini humo.[1] Pia ni mwanachama wa timu ya taifa, alikuwa mchezaji katika timu ya taifa ya Afrika kusini kwenye Mashindano ya Afrika mwaka 2007, 2009 na 2011. Alipata wastani wa pointi 6.3 kwa kila mchezo katika mashindano ya mwaka 2011.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kegorapetse David Letsebe", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-27, iliwekwa mnamo 2022-09-02 
  2. "Kegorapetse David Letsebe", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-27, iliwekwa mnamo 2022-09-02