Katsushika Hokusai
Jump to navigation
Jump to search
Katsushika Hokusai (1760– 10 Mei 1849) alikuwa mchoraji mashuhuri nchini Japan. Aliishi wakati wa nasaba ya Edo. Alichora hasa picha za nchi na mazingira. Mfumo aliotumia hasa ilikuwa chapisho za picha nakhshi katika ubao. Mtindo wake hujulikana kama "ukiyo-e".