Kassanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kassanda katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°32′48″N 31°49′11″E / 0.54667°N 31.81972°E / 0.54667; 31.81972

Kassanda ni mji katika wilaya ya Kasanda, katika eneo la Buganda nchini Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Kassanda iko takribani kilomita 58 (maili 36) mashariki mwa Mubende, eneo la makao makuu ya wilaya.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. GFC (19 May 2016). "Distance between Mubende Town Council Headquarters, Kampala, Mubende, Central Region, Uganda and Kassanda, Central Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 19 May 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)