Nenda kwa yaliyomo

Kashiff De Jonge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kashiff de Jonge (pia anajulikana kama Kashiff Collins) ni mchezaji wa soka anayechukua nafasi ya mshambuliaji katika klabu ya Darby FC. Alizaliwa Kanada, lakini alikuwa mchezaji wa kimataifa wa Guyana.[1][2]

  1. "Ajax's Kashiff De Jonge earns Durham College athlete of the week award". Ajax News Advertiser. Septemba 11, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Durham's indoor soccer season ends at regionals". Durham College. Machi 6, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kashiff De Jonge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.