Kanuni ya Pauli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kijana Wolfgang Pauli


Kanuni ya Pauli ilitangazwa mwaka wa 1925 na Wolfgang Pauli. Inahusu elektroni za atomu. Kila elektroni ina tarakimu nne za kwanta. Kanuni ya Pauli inadai kwamba tarakimu hizo nne haziwezekani kuwa sawa kwa elektroni mbili ndani ya atomu moja.

Science.jpg Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanuni ya Pauli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.