Kaizari Francis I
Mandhari

Francis I (8 Desemba 1708 – 18 Agosti 1765) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia tarehe 13 Septemba 1745 hadi kifo chake. Alimfuata Karoli VII, na kufuatiwa na Joseph II.
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Francis I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |