Nenda kwa yaliyomo

Kailen Sheridan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sheridan akiwa na San Diego Wave mwaka 2024.

Kailen Mary Iacovoni Sheridan (alizaliwa 16 Julai, 1995) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka Kanada, anayecheza kama mlinda lango wa timu ya San Diego Wave FC katika ligi ya soka ya taifa ya wanawake (NWSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Kanada.[1][2][3]


  1. "Kailen Sheridan Player Profile". NJ/NY Gotham FC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 11, 2021. Iliwekwa mnamo Juni 22, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Toronto's Sheridan Named W-League POTW | College Soccer".
  3. Davidson, Neil (Januari 12, 2017). "3 Canadians taken in NWSL draft". CBC. Iliwekwa mnamo Machi 26, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kailen Sheridan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.