English-Swahili Dictionary (TUKI)
Mandhari
(Elekezwa kutoka KKK-ESD)
KKK/ESD ni kifupi cha "Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili" (English-Swahili Dictionary) iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mara ya kwanza 1996. Toleo la pili lililoongezeka na kuwa na masahihisho likatolewa mwaka 2000. Toleo la tatu likafuata mwaka 2006.
Kamusi hii inataja maana za Kiswahili kwa maneno zaidi ya 50,000 ya Kiingereza.
Kamusi online
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- English-Swahili Dictionary (ESD), 2nd edition (imetungwa TUKI, Dar es Salaam 2000)
- TUKI English-Swahili Dictionary third Edition (imetungwa TUKI 2006)
- Hinnebusch, Thmas J.: Negotiating the new TUKI English-Swahili dictionary, a critique from a scholarly and pedagogical perspective, katika: Swahili-Forum - 4.1997 uk. 181 Archived 15 Februari 2017 at the Wayback Machine. (kwenye seva ya Qucosa.de - imeangaliwa 27-05-2014)