Nenda kwa yaliyomo

K.Will

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kim Hyung-soo (Kikorea: 김형수; anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii K.Will, kwa Kikorea: 케이윌; alizaliwa 30 Desemba 1981) ni mwimbaji wa Korea Kusini. Jina ni mchanganyiko wa herufi ya kwanza 'K' ya jina lake la mwisho 'Kim' na neno la Kiingereza 'Will'.[1][2]

  1. "케이윌". Daum Encyclopedia (kwa Kikorea). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 5, 2023. Iliwekwa mnamo Oktoba 28, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "스카이데일리, 가이드 녹음 목소리부터 빌보드 차트까지… 인정받는 가수 '케이윌'". www.skyedaily.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 2, 2021. Iliwekwa mnamo 2021-06-02.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu K.Will kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.