Jumanne Maghembe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jumanne Abdallah Maghembe)
Profesa Jumanne Abdallah Maghembe (amezaliwa 1 Januari, 1970) ni mbunge wa jimbo la Mwanga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.[2]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Jumanne Abdallah Maghembe". 1 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- ↑ https://peoplepill.com/people/jumanne-maghembe/
Viungo vya nnje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |