Juma Suleiman N'hunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juma Suleiman N'hunga (amezaliwa tar. 1 Januari 1956) ni mbunge wa jimbo la Dole katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Juma Suleiman N'hunga (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.