Juma Alifa Ngasongwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juma Alifa Ngasongwa (amezaliwa tar. 13 Agosti 1941) ni mbunge wa jimbo la Ulanga Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Juma Alifa Ngasongwa (1 Februari 2007). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.