Juma Abdallah Njwayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juma Abdallah Njwayo (amezaliwa tar. 10 Machi 1964) ni mbunge wa jimbo la Tandahimba katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Juma Abdallah Njwayo (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.