Joyce Mhavile
Mandhari
Joyce Mhavile | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | Mkurugenzi mtendaji |
Joyce Mhavile ni Mkurugenzi Mtendaji wa ITV, Radio One na Capital One nchini Tanzania. Pia ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya T-MARC Tanzania.
Amepata tuzo ya heshima ambayo hujulikana kama tuzo ya Malkia wa nguvu.[1] katika kukuza, kusimamia,kuendeleza na kutetea tansia ya habari nchini Tanzania mwaka 2018. Tuzo hiyo ilitolewa na Clouds Media Group iliyopo jijini Dar-es-Salaam.