Nenda kwa yaliyomo

Joyce Ababio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joyce Ababio (alizaliwa 1988) ni mbunifu wa mitindo wa Ghana.[1][2][3] Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha ubunifu wa mitindo cha Joyce Ababio.[4]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Joyce Ababio alihudhuria Shule ya Achimota.[5] Baada ya elimu yake ya sekondari, alipata nafasi ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Jimbo la St. Cloud huko Minnesota, Marekani. Hata hivyo, baada ya mwaka mmoja kusomea Teknolojia ya Kimatibabu, alizungumza na washauri wake na kisha kuhamishiwa Chuo Kikuu cha wanawake Texas ambapo alipata digrii yake katika Ubunifu wa Mitindo.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ghana news - Top local news in Ghana - Graphic Online". www.graphic.com.gh (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  3. https://web.archive.org/web/20150924010554/http://www.fashionmaniagh.com/2014/07/joyce-ababio-to-launch-new-fashion.html
  4. Editorial Team (2021-03-23). "Joyce Ababio Fashion School, Courses, Fees, Forms And More » Ghana Insider" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  5. "Joyce Ababio ; Fashion designer extraordinaire". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  6. "Joyce Ababio ; Fashion designer extraordinaire". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joyce Ababio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.