Josiah De Disciple

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josiah Makoela amezaliwa tarehe 3 julai mwaka 1991,[1] ni DJ na mtayarishaji wa rekodi wa Afrika Kusini anayejulikana kama Josiah De Disciple, anajulikana zaidi kwa staili ya Amapiano.[2]

Josiah alikuwa kati ya ma-DJ wawili waanzilishi wa staili ya Amapiano JazziDisciples pamoja na Mr JazziQ,[3] hata hivyo wawili hao waligawanyika mwaka 2018 ili kuangazia taaluma zao za muziki.[4][5]

Baada ya kuachana na DJ mwenzake Kwa wakati huo JazziDisciples, alitoa albamu ya studio yake iliyokuwa ikitarajiwa sana inayoitwa Spirits of Makoela, Vol. 2: The Reintroduction, albamu hiyo ilithibitishwa na kutolewa baada ya Albamu ya Mr JazziQ Party with the English, ambayo ilisababisha ulinganisho kati ya watayarishaji wa rekodi hizo.[6]

Wimbo wake wa Mama na Boohle kutoka katika albamu yao shirikishi ya Umbuso Wabam'nyama uliidhinishwa na Sekta ya Kurekodi ya Afrika Kusini (RiSA) na kupewa Gold.[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Josiah De Disciple Biography, Music, JazziDisciples, Girlfriend, Net Worth". Savanna News (kwa en-US). 2021-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-01-31. 
  2. "Josiah De Disciple". www.musicinafrica.net. Iliwekwa mnamo 16 December 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "JazziDisciples Has Decided to Drop Separate Solo Projects.". Online Youth Magazine | Zkhiphani.com (kwa en-US). 2020-02-19. Iliwekwa mnamo 2022-01-27. 
  4. "Why did JazziDisciples split?". JustNje (kwa en-US). 2021-03-15. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-12. Iliwekwa mnamo 2022-01-27.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. "Josiah De Disciple Biography, Music, JazziDisciples, Girlfriend, Net Worth". Savanna News (kwa en-US). 2021-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-01-31. 
  6. "It’s JazziQ Vs. Josiah De Disciple". ZAlebs (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-29. Iliwekwa mnamo 2022-03-10.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  7. "Certifications 2022". www.risa.org.za. Iliwekwa mnamo 2022-03-09. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josiah De Disciple kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.