Joshua Nassari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Joshua Samwel Nassari)
Joshua Nassari

Joshua Samwel Nassari ni Mwanasiasa wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania na alikuwa mbunge katika jimbo la Arumeru Mashariki tangu 2012 mpaka 2019.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

</reference>

  1. "Member of Parliament CV". Bunge la Tanzania. 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-03. Iliwekwa mnamo 2017-05-06.  Text "imeandaliwa Mei 2017" ignored (help)