Josephine Mandamin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josephine Mandamin (21 Februari 1942 - 22 Februari 2019]) alikuwa mwanachama mwanzilishi wa harakati za kulinda maji nchini Kanada.[1]

Mandamin alikuwa mnusurika wa mfumo wa shule ya makazi ya lazima kwa Waindio wa Kanada na mwanzilishi mwenza wa Mother Earth Water Walkers. Katika umri wa miaka 77, alitembea takribani maili 25,000 kuzunguka mwambao wa [[Maziwa Makuu]] yote, na njia nyingine za maji za Amerika Kaskazini, akiwa amebeba ndoo ya maji, ili kuleta ufahamu juu ya hitaji la kulinda maji dhidi ya uchafuzi wa mazingira.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Josephine Mandamin". Center for Humans and Nature (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
  2. "Grandmother Josephine Mandamin". www.thunderbay.ca (kwa Kiingereza). 2022-03-22. Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josephine Mandamin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.