Josephine Joseph Lagu
Mandhari
Josephine Joseph Lagu ni mwanasiasa kutoka nchi ya Sudan Kusini na Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula mpaka hapo mwaka 2022.[1][2] Yeye ni binti wa Joseph Lagu.[3]
Mnamo Februari 10, 2025 aliteuliwa kuwa Makamu wa rais, miongoni mwa orodha ya Makamu wa rais watano wa nchi kwa mujibu wa mkataba wa amani wa mwaka 2018 (R‑ARCSS) na serikali ya mpito ya muungano wa kitaifa.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "World Bank provides 113 mln USD to boost food production in South Sudan - Xinhua | English.news.cn". www.xinhuanet.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-10. Iliwekwa mnamo 2022-07-10.
- ↑ "🇸🇸 Hon. Josephine Joseph Lagu – Women in AgriTech" (kwa Kifaransa (Canada)). Iliwekwa mnamo 2022-07-10.
- ↑ "Veteran politician Lagu visits President Kiir". The City Review. 16 Januari 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-06. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2023.
{{cite news}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ umajulius (2025-02-11). "Kiir sacks two VPs, health minister". Sudan Tribune (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-07-23.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josephine Joseph Lagu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |