Joseph Mithika Mwenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Mithika Mwenda, anayejulikana kama Mithika Mwenda au Mzalendo (kwa Kiswahili), ni mtu wa Kenya mwanzilishi mwenza wa shirika la Afrika la mabadiliko ya hali ya hewa Pan African Climate Justice Alliance (PACJA)[1] na amekuwa mtetezi wa mambo ya hali ya hewa kwa zaidi ya miaka 10.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "PACJA | Welcome". www.pacja.org. 
  2. "ESIPISU: Cereals are no 'food' for starving Turkana, help them". Daily Nation. 4 July 2020.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Mithika Mwenda, 99 others named in 'most influential people in Climate Change Policy 2019'". March 20, 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-17. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Mithika Mwenda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.