John Kokwaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Ongaya Kokwaro (27 Desemba 1940 - 13 Desemba 2019) alikuwa profesa wa botania (elimu ya mimea) kwenye Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya. Aliandika vitabu 13 vya botania[1], pamoja na Medicinal Plants of East Africa (1976 & 2009) [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. CV John Kokwaro, tovuti ya Chuo cha Nairobi, iliangaliwa 2013
  2. East African Crops: Second Edition (2015), Luo Biological Dictionary (1998), Flowering Plant Families of East Africa: An Introduction to ... (1994)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Kokwaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.