Jimmie Johnson
Mandhari
Jimmie Kenneth Johnson (amezaliwa El Cajon, California, Septemba 17, 1975) ni mtaalamu wa mbio wa magari wa Marekani.
Johnson alicheza katika NASCAR Kombe Series msimu 2002-2020 na timu ya Hendrick Motorsports. Katika safu hii alishinda mataji saba: 2006, 2007, 2008, 2009, 2010, 2013 na 2016 na sawa na rekodi za Richard Petty na Dale Earnhardt.[1]
Kuanzia 2021 Johnson anahamia IndyCar kujiunga na timu ya Chip Ganassi Racing.[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fryer, Jenna. "Jimmie Johnson seizes record-tying 7th NASCAR championship", Associated Press, Homestead, Florida: AP Sports, November 20, 2016. Retrieved on November 20, 2016. Archived from the original on 2016-11-24.
- ↑ Seven-time NASCAR Cup Series champion Jimmie Johnson will race in IndyCar in 2021 and 2022. Yahoo Sports.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 20 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimmie Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |