Nenda kwa yaliyomo

Jestina Mukoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jestina Mukoko anatambuliwa katika hafla ya tuzo ya kimataifa ya wanawake jasiri, 10 Machi 2010.

Jestina Mukoko ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa na mkurugenzi wa mradi wa amani wa Zimbabwe.Pia ni mwandishi wa habari kwa mafunzo na msomaji wa habari wa zamani katika shirika la utangazaji la Zimbabwe.[1][2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jestina Mukoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.