Nenda kwa yaliyomo

Jermuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya sehemu ya mjini hapa.

Jermuk (Kiarmenia: Ջերմուկ pia kwa jina la Kirumi huitwa Dzhermuk) ni mji uliopo mjini kusini mwa mkoa wa Vayots Dzor huko nchini Armenia. Kilikuwa kituo mashuhuri wakati wa zama za Wasoviet na kinafahamika sana kwa chechem zake za maji ya moto na pombe zinatokana na maji ya miamba ambazo zinawekwa kwenye chupa. Mji huu una mapolomo ya maji makubwa na daraja asilia kubwa ambalo lipo karibu na mto mdogo, misitu mikubwa. Jermuk kwa sasa ni mji ambao unajengwa kwa dhumuni la kuufanya uwe kama kitovu cha utalii nchini humo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jermuk kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.