Nenda kwa yaliyomo

Jenny Coupland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jenny Coupland (amezaliwa 1961) alitunukiwa taji la Miss Australia mwaka 1982.[1][2] Alikuwa pia Miss New South Wales mwaka huo huo. Aliolewa na Angus Martin mwaka 1987.


  1. "National Titleholders". Miss Australia a Nation's Quest. National Museum of Australia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cerebral Palsy Alliance" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-10-03. Iliwekwa mnamo 2010-02-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenny Coupland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.