Nenda kwa yaliyomo

Jemaa el-Fnaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jemaa el-Fnaa (kwa Kiarabu: ساحة جامع الفناء Sāḥat Jāmiʾ al-Fanāʾ, pia Jemaa el-Fna, Djema el-Fna au Djemaa el-Fnaa) ni eneo la mraba na soko katika eneo la madina ya Marakesh (mji mkongwe). Eneo kuu la mraba la Marrakesh, linatumiwa na wenyeji na watalii.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UNESCO - Cultural space of Jemaa el-Fna Square". ich.unesco.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-22.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jemaa el-Fnaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.