Nenda kwa yaliyomo

Jeep Grand Cherokee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gari aina ya Jeep Grand Cherokee

Jeep Grand Cherokee ni aina ya magari yanayozalishwa na mtengenezaji wa Marekani wa Jeep.

Aina nyingine za magari ya Jeep yametengenezwa na body on frame wakati Jeep Grand Cherokee imetumia unibody chassis.

Asili ya Grand Cherokee ilianza mwaka 1983 wakati Shirika la American Motor Corporation (AMC) lilijenga mrithi wa Jeep Cherokee (XJ).