Jean-Michel Cousteau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cousteau mnamo Desemba 2007

Jean-Michel Cousteau (amezaliwa 6 Mei 1938) ni mvumbuzi wa bahari, mwanamazingira, mwalimu, na mtayarishaji wa filamu wa Ufaransa.

Mtoto wa kwanza wa mvumbuzi wa bahari Jacques Cousteau, yeye ni baba wa Fabien Cousteau na Céline Cousteau .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Michel Cousteau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.