Nenda kwa yaliyomo

Jay Chapman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chapman akiwa na Toronto FC mwaka 2015

Jay Tyler Chapman (alizaliwa Januari 1, 1994) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Kanada anayecheza katika klabu ya Charleston Battery ya ligi ya USL, kwa mkopo kutoka Hartford Athletic.[1][2]

  1. Davidson, Neil. "Midfielder Jay Chapman becomes Toronto FC's latest homegrown talent", January 23, 2015. 
  2. "Toronto FC and Team Canada teammates visit Brampton", Brampton Guardian, July 4, 2017. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.