Japie Laubscher

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Japie Laubscher amezaliwa mwaka 1919[1] alikuwa mchezeaji wa kifaa cha muziki cha concertina wa muziki wa Boeremusiek nchini Afrika Kusini. Kwa Denis-Constant Martin alikuwa anatumia aina ya kipekee ya tremolo, sawa na vibrato ya kipekee ya saxophonists langarm ambayo kulingana na Vincent Kolbe, inaweza kutokea katika utamaduni wa Cape Town. Alifariki mwaka 1981[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dan Michael Worrall (1 January 2009). The Anglo-German Concertina: A Social History. Dan Michael Worrall. pp. 21–. ISBN 978-0-9825996-1-7. 
  2. Denis-Constant Martin (June 2013). Sounding the Cape Music, Identity and Politics in South Africa. African Minds. pp. 179–. ISBN 978-1-920489-82-3.