Jamil Adam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jamil Buba Adam (amezaliwa 5 Juni 1991 katika Metropolitan Borough of Bolton) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kiingereza mwenye asili ya Nigeria na Ireland anayesakata kama mshambuliaji kwa timu ya Flint Town United, baada ya awali kuichezea klabu ya daraja la Championship Barnsley.

Vyeo[hariri | hariri chanzo]

Barnsley

Mchezaji Mchanga wa Mwaka 2010

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamil Adam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.