Jamii:Watumiaji Linux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kundi la Watumiaji wa Linux (LUG) ni mkutano wa watu wanaopenda Linux na kuitumia. Kwa kawaida kila nchi itakuwa na LUG(Linux user groups) ya kitaifa ambayo inaweza kusimamia vikundi, kutoa huduma za bure n.k na pia inawezekana kwa vikundi kupata ufadhili kutoka kwa mashirika mbalimbali ya kibiashara, SuSE ni mfano mmoja.

Makala katika jamii "Watumiaji Linux"

Jamii hii ina kurasa 2 zifuatazo, kati ya jumla ya 2.