Jamii:Dini katika Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

kuna dini mbalimbali katika Africa na miongoni dini hizi dini ya uislamu :swalah katika uislamu Swalah kilugha: Maombi Swala kisheria: Ni kumuabudu Mwenyezi Mungu U kwa maneno na vitendo maalumu, vinavyoanzia kwa takbiri na vinavyomalizikia kwa kupiga salamu. na saumu katika uislamu Saumu Katika Lugha: Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani. Saumu Kisheria: Ni kufanya ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U kwa kujizuia kula, kunywa na kufanya tendo la ndoa kuanzia kutokeza kwa alfajiri hadi kutwa kwa Jua. zaka katika uislamu Zaka kilugha: Ni kukua kwa kitu na kuzidi. Zaka kisheria: Ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu ili kupewa watu maalumu. https://www.al-feqh.com/sw

Vijamii

Jamii hii ina vijamii 3 vifuatavyo, kati ya jumla ya 3.

K

U