James Mnanka Wanyancha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

James Mnanka Wanyancha (amezaliwa tar. 25 Desemba 1952) ni mbunge wa jimbo la Serengeti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu James Mnanka Wanyancha (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.