Jacqui Jackson
Mandhari
Jacqueline Carol Jackson ni mwandishi wa Uingereza ambaye anatoa huduma za ushauri, hutoa mihadhara na anaandika kuhusu masuala mengi yanayohusiana na usonji. Tese yake ya udaktari, iliyopewa jina 'Nurturing the Engagement of Children with an Autism Spectrum Disorder through Digital Polysensory Experiences' (Kukuza Ushirikiano wa Watoto Wenye Usumbufu wa Spectrum ya usonji Kupitia Uzoefu wa Kidijitali wa Aina Mbalimbali za aisti), ilikabidhiwa kutoka Chuo Kikuu cha Coventry. Tese hiyo ilichambua tofauti za aisti za watoto wenye ASD na athari za mazingira ya kidijitali na yale ya majengo. Jacqueline pia hutoa ushauri kuhusu muundo wa mazingira ya majengo na athari za mwanga na muundo kwa watu wenye usonji na neurodiversity zingine. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ouch! Columnists, back to school". bbc.co.uk. 10 Novemba 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Machi 2008. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2007.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacqui Jackson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |