Nenda kwa yaliyomo

Jacqueline Murekatete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacqueline Murekatete ni mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanzilishi wa wakfu wa NGO la walionusurika katika mauaji ya kimbari. Murekatete akiwa mwenye umri wa miaka tisa alipoteza wengi wa familia yake wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi, [1]alipewa hifadhi mwaka 1995 nchini Marekani,ambapo alilelewa na mjomba wake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "What We Do". Genocide Survivors Foundation.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Murekatete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.