Jacky Ogol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacky Akinyi Ogol alizaliwa 10 Oktoba 1994 ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Kenya anaechezea nafasi ya kiungo katika timu ya wanawake nchini Kenya, Vihiga Queens pamoja na timu ya taifa wanawake Kenya.

Marejeo

Jamii

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jacky Ogol kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.