J. Michael Fay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

J. Michael Fay (alizaliwa septemba 1956) ni mwana ekolojia na mtunza mazingira wa Marekani ni mashuhuri kwenye vitu mbalimbali, katika mradi wa MegaTransect alitumia siku 455 kutembea kwamiguu mwendo wa kilomita 2,000 (3,200 km) alikatiza Africa na mradi wa MegaFlyover  akiwa na rubani Peter Ragg walitumia miezi kadhaa kuruka kilomita 70,000 kwa ndege ndogo katika urefu mdogo, walipiga picha kila baada ya sekunde ishirini. Miradi yote ilifaziliwa na jamii ya kijeografia ya Taifa, ambayo walichapisha Makala  na filamu zinazohusu mradi huo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "J. Michael Fay Michael Fay - National Geographic Society". explorer-directory.nationalgeographic.org (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-03. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. Michael Fay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.