Iztaccihuatl
Mandhari
Iztaccíhuatl ni mlima mkubwa wa tatu nchini Meksiko. Jina lake kwa Kinahuatl lamaanisha "mwanamke mweupe" kutokana na umbo la mlima na theluji juu yake. Ina pemne mme na pembe kubwa inafikia 5,230 m juu ya UB. Upo karibu na mji wa Meksiko.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iztaccihuatl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |