Nenda kwa yaliyomo

Ivan Neville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Neville akitumbuiza katika 2005 Bourbon Street Fest
Neville akitumbuiza katika 2005 Bourbon Street Fest
Maelezo ya awali


Ivan Neville (alizaliwa New Orleans, Louisiana, 19 Agosti 1959) ni mchezaji wa vyombo vingi vya muziki, Mwanamuziki, Mwimbaji na Mtunzi wa Nyimbo. Yeye ni mwana wa Aaron Neville na mpwa wa Neville Brothers.

Kazi ya Muziki

[hariri | hariri chanzo]

Ametoa albamu nne za solo na alikuwa na wimbo uliotia for a katika tamasha za Top 40 Billboardkwa wimbo wake "Not Just Another Girl"kutoka albamu yake ya kwanza ya solo If My Ancestors Could See Me Now. Single yake ya pili "Falling Out of Love" iliibuka katika Billboard Hot 100 na ikatumika kama soundtrack katika filamu ya John Ritter Skin Deep ya1989. Wimbo wake mwingine wa "Why Cant I Fall In Love" pia umekuwa kipenzi cha wengi huku ikipokea umaarufu katika filamu ya Christian Slater "Pump Up The Volume".

Neville amecheza na Neville Brothers na kuonekana katika nyimbo zao nyingi na pia katika rekodi za solo za babake. Alicheza chombo cha Keyboard katika albamu mbili maarufu za babake, Dirty Work ya 1986 na Voodoo Lounge ya 1994. Pia alikuwa mmoja wa bendi ya Keith Richards the X-Pensive Winos. Mnamo 19988 alimzuru Richards baada ya kurekodi Talk is Cheap, na alikuwa maarufu katika ufunguzi wa vipindi vingi tangu kutolewa kwa albamu ya If My Ancestors Could See Me Now.

Licha ya kuonekana katika miziki ya wasanii mbalimbali akiwemo Don Henley]], Bonnie Raitt, Robbie Robertson, Rufus, Paula Abdul, na Delbert McClinton, alikuwa pia mmoja wa kundi la the Spin Doctors, huku akizuru na kurekodi katika albamu ya kundi hilo, Here Comes The Bride ya 1999–2000, hata akishikilia hatamu ya sauti ya Lead wakati Chris Barron alipoteza sauti yake. Mnamo 2002 aliunda kundi lake la Dumpstaphunk na akaonekana katika mahali pengi, pakiwemo katika Late Show with David Letterman.

Kupitia mradi wa Tipitina's Foundation, pamoja na wanamuziki wengine kutoka New Orleans, Neville amekuwa akitumbuiza katika tamasha za kusaidia wahasiriwa wa Hurricane Katrina.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]