Issam El Adoua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Issam El Adoua (alizaliwa 9 Desemba 1986) ni mchezaji wa soka wa Moroko.[1]

Kawaida ni beki wa kati (central defender), El Adoua pia anaweza kucheza kama kiungo wa ulinzi (defensive midfielder).

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Wydad Casablanca
Al Qadsia
Vitória Guimarães

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Issam El Adoua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.