Issam Badda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Issam Badda
Youth career
2000–2005IZK Khemisset
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2005–2010IZK Khemisset
2010–2015FUS Rabat
2015–2016Kawkab Marrakech
2016–2017IR Tanger6(0)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2008–2012Morocco1(0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 00:00, 1 Julai 2017 (UTC).

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 10 Agosti 2012

Issam Badda (alizaliwa 10 Mei 1983 huko Khemisset, Morocco) ni Nyota wa soka wa Morocco anayekucheza kama golikipa. Kwa sasa yupo huru bila klabu. Alikuwa sehemu ya kikosi cha Morocco katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2012.[1] Katika fainali, Badda aligundulika kuwa na aina fulani ya malaria.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Profile". mtnfootball.com. 25 Januari 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Morocco goalkeeper contracts malaria". BBC Sport. 25 Januari 2011. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2012. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Issam Badda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.