Nenda kwa yaliyomo

Isimu amali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isimu amali ni tawi la isimu ambalo hushughulikia uchambuzi na uchanganuzi wa lugha kupitia kwa maoni ya mtumiaji wa lugha husika. Hasa taaluma hiyo inachunguza uchaguzi wa miundo wa maneno anaoufanya msemaji, vikwazo vya kijamii msemaji anavyokabiliana navyo katika matumizi yake ya lugha, na athari nyingine za kijamii za matumizi ya lugha. Wengine hudai kuwa taaluma hiyo ni sehemu ya isimujamii.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isimu amali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.