Interscope Geffen A&M Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Interscope Geffen A&M Records (IGA), ni mwavuli wa studio ya muziki ya Kimarekani inayomilikiwa na Universal Music Group na inajumuisha studio za kurekodi muziki za Interscope Records, Geffen Records, na A&M Records.